Mwimbaji wa kike na Muigizaji, Mya amejibu tuhuma zilizoripotiwa jana na vyombo vya habari kuwa anatoka na Jay Z na kwamba rapper huyo anamhudumia kifedha kama mpenzi wake.
Akijibu swali la shabiki mmoja aliyetaka kupata jibu lake kuhusu tuhuma hizo, mrembo huyo alikanusha kwa msisitizo huku akirusha lawama kwa vyombo vya habari kuwa vinatumia vyanzo ambavyo havina ukweli.
Akijibu point ya kuwa anahudumiwa kifedha na Jay Z, Mya alieleza kuwa yeye ana kampuni yake mwenyewe na label yake na anamtegemea Mungu pekee na anajiheshimu na kuheshimu ndoa.
“Never did, never was, never will. Illegitimate, thirsty sources with no facts and that's the ‘media' for you-especially today. I play second to no one, pay my own bills, have my own label, own management company, rely on God only and respect myself & marriage too much for nonsense.” Aliandika.
Popular Posts
-
New Music: Chidi Benz Feat Bob Junior - Mahaba Niuwe
-
Download wimbo Kamili HAPA MKITO wa Msanii mdogo wa Umri Mkubwa wa akili aka "Jose G" akiwa amemshirikisha Legendary SpacDaw...
-
KAULI ya nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwamba hawezi kuoa kamwe, inadaiwa kumchefua mwandani wake, Wema Isaac Sepe...
-
Baadhi wanawake siku hizi wamekuwa wakijiuliza vazi gan ambalo linafaa kuvaliwa wakati wa usiku na likawapendeza sasa unaweza kutazama pic...
-
Baadhi ya Mastar wa Tanzania wameamua kuweka wazi nia zao za kugombea nafasi za uongozi katika ngazi mbalimbali,miongoni mwa watu hao kwa ...
-
New Music: Monii ft Roma & GodZilla - Hatuhesabu Masaa
-
Siku 74 baada ya kufunga ndoa na Kanye West huko Florence, Italia Kim Kardashian amefuata taratibu za kisheria na kubadili jina lake rasmi k...
-
Beef ya mastar wa Nigeria inaonekana bado haijaisha baada ya Davido kuzungumzia kitu gani kilimkasirisha hadi bifu na Wiz Kid kutokea, Wiz...
Advertisement
Advertisement
Advertisement With Us