Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Sunday, July 6, 2014

Joh Makini na G Nako wapo njiani kuelekea Coke Studio, Picha ipo hapa

Rapper wawili kutoka Kampuni ya WEUSI ambao wanatingisha kwa ngoma yao ya Gere kwa sasa, Namzungumzia Joh Makini ambaye amechaguliwa kushiriki kwenye COKE Studio kwa mwaka wa 2014 yupo njiani yeye na G Nako kuelekea Nairobi, Kenya kwenye studio za COKE.
Kupitia account yake ya Instagram, Rapper Joh Makini ameshare oicha hiyo hapo juu na kuandika maneno haya.
''V. I.P #cokeStudio #ready to fly # nairobaaa tuko kwa angaa...@gnakowarawara familiaa @jacklina_richard''