Select Menu

Ads

Random Posts

Powered by Blogger.

Design

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Bottom

Sunday, July 6, 2014

Unaweza ukawa umependa vazi lako na ukatak kulivaa Mchana na Jioni, Hii hapa namna ya kuli style vazi hilo

Kama una  kidate cha jioni au usiku na huna mda wa kubadili nguo basi kigauni kimoja waweza vaa mchana na jioni.kwa mchana vaa na flats zako jioni waongeza tu vitupio baadhi unapata muonekano wa jioni.

Muonekano wako wa mchana ndo huu waweza kuwa umevaa flats sandals,au simple shoes zozote kama loafers na handbag
Kwa jioni unaongeza tu sparkle kidogo ya belt,necklace bila kusahau ckutch na hapa amevaa goldish waweza vaa hata silver pia.

Chini akamalizia na high heels za ankles but waweza vaa pumps heels pia refer kwa post ile ya viatu