Vazi la JumpSuit kwa sasa linavaliwa sana nchi za wazungu.
Nivazi zuri ambalomtu akilivaa linampendeza na linaweza kutumika kama vazi la ofisini, mtoko na hata kwenye shughuli za kawaida bila kuwa na usumbufu wa kuwa na mshaka na muonekano au kukaa vibaya.
Sunday, July 6, 2014
Picha: Kwa wale wa mavazi 'Jumpsuit' vazi linalo pendwa sana majuu ila hata sisi tunapendeza tukilivaa
Labels:
Fashion